Ufafanuzi wa kwatua katika Kiswahili

kwatua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    fanya kuwa rembo.

    rembesha

Matamshi

kwatua

/kwatuwa/