Ufafanuzi wa kwaya katika Kiswahili

kwaya

nominoPlural kwaya

  • 1

    kundi la waimbaji.

  • 2

    uimbaji wa watu kwa pamoja.

Matamshi

kwaya

/kwaja/