Ufafanuzi msingi wa kwenzi katika Kiswahili

: kwenzi1kwenzi2

kwenzi1

nominoPlural kwenzi

  • 1

    ndege mdogo wa kundi la visengenye.

Matamshi

kwenzi

/kwɛnzi/

Ufafanuzi msingi wa kwenzi katika Kiswahili

: kwenzi1kwenzi2

kwenzi2

nominoPlural kwenzi

  • 1

    sauti nyembamba ya mtu ya kutambulisha jambo la hatari.

    ukelele, yowe

Matamshi

kwenzi

/kwɛnzi/