Ufafanuzi wa laana katika Kiswahili

laana

nominoPlural laana

  • 1

    ukosefu wa radhi za Mwenyezi Mungu; hasira ya Mungu.

  • 2

    apizo atoalo mtu kwa mtu mwingine ili afikwe na ubaya.

    shonga, chira, duizo, hizaya, ukuba

Asili

Kar

Matamshi

laana

/la:na/