Ufafanuzi wa laani katika Kiswahili

laani

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    shtakia kwa Mwenyezi Mungu; ombea maovu.

    apiza, duia

Asili

Kar

Matamshi

laani

/la:ni/