Ufafanuzi wa labeka! katika Kiswahili

labeka!

kiingizi

  • 1

    tamko la unyenyekevu la kuitikia.

    abee!, naam!

Matamshi

labeka!

/labɛka/