Ufafanuzi wa ladha katika Kiswahili

ladha

nomino

  • 1

    hisi zinazopatikana kinywani wakati unapoonja kitu.

    mwonjo

Matamshi

ladha

/laĆ°a/