Ufafanuzi wa ladu katika Kiswahili

ladu

nominoPlural ladu

  • 1

    andazi gumu la mviringo litengenezwalo kwa unga wa mtama, mchele au dengu, unaochanganywa na vitu mbalimbali k.v. sukari, asali, ufuta, tangawizi au pilipili manga.

Asili

Khi

Matamshi

ladu

/ladu/