Ufafanuzi wa lafudhi katika Kiswahili

lafudhi

nominoPlural lafudhi

  • 1

    matamshi ya mzungumzaji yanayotokana na lugha yake ya mwanzo au lugha zinazomzunguka.

  • 2

    udhihirishaji wa sauti za lugha unaomtambulisha mtu mmoja au jamii ya watu.

Asili

Kar

Matamshi

lafudhi

/lafuði/