Ufafanuzi msingi wa laghai katika Kiswahili

: laghai1laghai2

laghai1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    pumbaza kwa sababu ya kutaka kughilibu; shawishi kwa hila.

    danganya, ghilibu, nyenga, kenga

Asili

Kar

Matamshi

laghai

/laɚaji/

Ufafanuzi msingi wa laghai katika Kiswahili

: laghai1laghai2

laghai2

nominoPlural laghai

Asili

Kar

Matamshi

laghai

/laɚaji/