Ufafanuzi wa lahaula! katika Kiswahili

lahaula!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha mshangao.

    halwoho!

Asili

Kar

Matamshi

lahaula!

/lahawula/