Ufafanuzi msingi wa laini katika Kiswahili

: laini1laini2

laini1

kivumishi

 • 1

  -siyokwaruza, -siyo ngumu.

  teketeke, -ororo, dabwadabwa, rovyo, tabwatabwa, tebwere, tefutefu

Matamshi

laini

/lajini/

Ufafanuzi msingi wa laini katika Kiswahili

: laini1laini2

laini2

kivumishi

Muziki
 • 1

  Muziki
  usiokuwa na kelele wala mikwaruzo.

  ‘Muziki laini’

Matamshi

laini

/lajini/