Ufafanuzi wa lainisha katika Kiswahili

lainisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya iwe laini au -ororo.

Matamshi

lainisha

/lajini∫a/