Ufafanuzi wa lakabu katika Kiswahili

lakabu

nominoPlural lakabu

  • 1

    jina ambalo mtu hujipa au hupewa mbali na jina lake hasa, agh. huwa ni la kutania.

  • 2

    jina la kupanga.

    msimbo

Asili

Kar

Matamshi

lakabu

/lakabu/