Ufafanuzi msingi wa laki katika Kiswahili

: laki1laki2

laki1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    enda kupokea mtu au watu.

Asili

Kar

Matamshi

laki

/laki/

Ufafanuzi msingi wa laki katika Kiswahili

: laki1laki2

laki2

nominoPlural laki

  • 1

    elfu mia.

Asili

Khi

Matamshi

laki

/laki/