Ufafanuzi wa lakini katika Kiswahili

lakini

kielezi

  • 1

    tamko la kuonyesha hitilafu au kasoro ya jambo.

    ila, isipokuwa, walakini, bali

Asili

Kar

Matamshi

lakini

/lakini/