Ufafanuzi msingi wa lalia katika Kiswahili

: lalia1lalia2

lalia1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    weka kiwiliwili juu ya kitu k.v. godoro, ngozi au mkeka.

    ‘Tutalalia godoro leo’

Matamshi

lalia

/lalija/

Ufafanuzi msingi wa lalia katika Kiswahili

: lalia1lalia2

lalia2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

Matamshi

lalia

/lalija/