Ufafanuzi wa lalisha katika Kiswahili

lalisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya mtu alale.

    ‘Nitamlalisha mtoto kitandani’
    laza, ikiza

Matamshi

lalisha

/lali∫a/