Ufafanuzi msingi wa lamba katika Kiswahili

: lamba1lamba2

lamba1

nominoPlural lamba

 • 1

  jani la mgomba.

Ufafanuzi msingi wa lamba katika Kiswahili

: lamba1lamba2

lamba2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  kwepa mtu, hasa unapokuwa na mpira, ili asikupokonye.

 • 2

  piga chenga.

  ‘Haule alimlamba kipa na kufunga goli’

Matamshi

lamba

/lamba/