Ufafanuzi wa lami katika Kiswahili

lami

nominoPlural lami

  • 1

    mabaki ya mafuta yaliyosafishwa yenye rangi nyeusi; madini yanayonata sana na hutumika kujengea barabara au kutia kwenye vyombo vya baharini ili maji yasipenye.

Asili

Kgk

Matamshi

lami

/lami/