Ufafanuzi wa lango katika Kiswahili
lango
nominoPlural malango
- 1
eneo lililo katikati ya nguzo mbili katika pande mbili zinazotazamana na uwanja ambapo sharti mpira uingie ili kuhesabu goli au bao.
‘Kulitokea msongamano katika lango la timu ya Yosa’ - 2
mlango mkubwa unaotumika kuingilia ndani ya uwanja, mji, ngome, n.k..