Ufafanuzi msingi wa lapa katika Kiswahili

: lapa1lapa2

lapa1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~wa

 • 1

  tamani sana chakula kutokana na njaa; kula kwa ulafi au pupa.

  haha

 • 2

  randa huku na huko kwa kutafuta unachokitaka.

  wania

Matamshi

lapa

/lapa/

Ufafanuzi msingi wa lapa katika Kiswahili

: lapa1lapa2

lapa2

nominoPlural malapa

 • 1

  kiatu cha wazi chenye mikanda miwili.

  kandambili, ndara, slipa

Matamshi

lapa

/lapa/