Ufafanuzi wa Latifu katika Kiswahili

Latifu

nomino

  • 1

    jina la sifa mojawapo ya Mwenyezi Mungu; mwenye upole juu ya viumbe wake.

    mwema

Asili

Kar

Matamshi

Latifu

/latifu/