Ufafanuzi wa lau katika Kiswahili

lau

kiunganishi

  • 1

    tamko linalotumika kuonyesha vitu viwili au zaidi katika msemo.

    ‘Lau usingekuja kunieleza, habari hii nisingeijua’
    kama, laiti

Matamshi

lau

/lawu/