Ufafanuzi wa laumu katika Kiswahili

laumu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    ambia mtu kuwa ndiye aliyesababisha kuharibika au kutofaulu kwa jambo fulani.

    aili, atibu, kengemeka, shutumu

Asili

Kar

Matamshi

laumu

/lawumu/