Ufafanuzi wa lazimika katika Kiswahili

lazimika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    wajibika kufanya jambo.

    ‘Unalazimika kuwapatia wafanyakazi chakula’
    wajibika, faridhi, shurutika, bidi

Asili

Kar

Matamshi

lazimika

/lazimika/