Ufafanuzi wa lazimisha katika Kiswahili

lazimisha

kitenzi elekezi

  • 1

    taka mtu afanye jambo bila hiari yake.

    shurutisha, kahiri, kalifu, juburu

Asili

Kar

Matamshi

lazimisha

/lazimiāˆ«a/