Ufafanuzi wa legeni katika Kiswahili

legeni

nomino

  • 1

    chombo cha madini cha kuokea mikate ya kumimina.

Asili

Kar

Matamshi

legeni

/lɛgɛni/