Ufafanuzi wa legevu katika Kiswahili

legevu

kivumishi

  • 1

    -enye kukosa kuwa imara; -siyokaza, -siyokazana.

  • 2

    -enye kukosa nguvu.

    tepetevu, dhaifu, mboga

Matamshi

legevu

/lɛgɛvu/