Ufafanuzi wa legeza katika Kiswahili

legeza

kitenzi elekezi

  • 1

    fungua kamba za kitu kilichofungwa ili zisikaze.

    ‘Legeza kamba’
    ‘Legeza mkanda’
    banua

Matamshi

legeza

/lɛgɛza/