Ufafanuzi wa leksikografia katika Kiswahili

leksikografia

nominoPlural leksikografia

  • 1

    sanaa na kazi ya uandikaji wa kamusi.

  • 2

    taaluma inayoshughulikia nadharia, mitazamo na mbinu za utungaji wa kamusi za aina mbalimbali.

Asili

Kng

Matamshi

leksikografia

/lɛksikɔgrafia/