Ufafanuzi wa leksimu katika Kiswahili

leksimu

nominoPlural leksimu

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kipashio kidogo kabisa cha msamiati ambacho kina uwezo wa kusimama peke yake kama kidahizo.

Asili

Kng

Matamshi

leksimu

/lɛksimu/