Ufafanuzi wa lele katika Kiswahili

lele

nominoPlural lele

  • 1

    uimbaji wa kuanzia ngoma; nyimbo za kuchangamshachangamsha kabla ya ngoma kuanza.

    bashirafu

Matamshi

lele

/lɛlɛ/