Ufafanuzi wa lemaa katika Kiswahili

lemaa

kitenzi sielekezi~za

  • 1

    kuwa na upungufu, agh. katika kiwiliwili, kwa kuzaliwa, ugonjwa au ajali.

    atilika

  • 2

    kuwa na udhaifu wa tabia.

Matamshi

lemaa

/lɛmaa/