Ufafanuzi wa lemaza katika Kiswahili

lemaza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa kilema au dhaifu.

  • 2

    fanya kuwa dhaifu wa tabia kwa kudekeza.

Matamshi

lemaza

/lɛmaza/