Ufafanuzi msingi wa lenga katika Kiswahili

: lenga1lenga2

lenga1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  tuliza macho mahali kwa kusudi ya kupata shabaha.

 • 2

  elekeza kitu kwenye kitu kingine.

  kusudia, elekeza

Matamshi

lenga

/lɛnga/

Ufafanuzi msingi wa lenga katika Kiswahili

: lenga1lenga2

lenga2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  pasua au kata kwa urefu.

  checha

Matamshi

lenga

/lɛnga/