Ufafanuzi wa lengalenga katika Kiswahili

lengalenga

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa karibu kutoa machozi.

    ‘Machozi yanamlengalenga’

Matamshi

lengalenga

/lɛngalɛnga/