Ufafanuzi wa lengelenge katika Kiswahili

lengelenge

nominoPlural malengelenge

  • 1

    uvimbe wenye maji ndani k.v. vipele vitokeavyo wakati ngozi iunguapo kwa maji moto au moto au kwa kuvaa viatu vinavyobana.

Matamshi

lengelenge

/lɛngɛlɛngɛ/