Ufafanuzi wa leseni katika Kiswahili

leseni

nominoPlural leseni

  • 1

    kibali kinachotolewa na mamlaka fulani chenye kumruhusu mtu au asasi kufanya jambo k.v. biashara, kutoa huduma au kuendesha gari.

    ‘Leseni ya biashara’

Asili

Kng

Matamshi

leseni

/lɛsɛni/