Ufafanuzi wa levya katika Kiswahili

levya

kivumishi

  • 1

    -enye kulewesha k.v. kileo au dawa.

    ‘Anauza dawa za kulevya’

Matamshi

levya

/lɛvja/