Ufafanuzi wa lewalewa katika Kiswahili

lewalewa

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    enda huku na huku kwa kushikilia juu na bila ya kugusa chini.

Matamshi

lewalewa

/lɛwalɛwa/