Ufafanuzi wa licha ya katika Kiswahili

licha ya

kiunganishi

  • 1

    tamko la kuthibitisha na kutilia mkazo fikira; zaidi ya; mbali ya.

    ‘Licha ya wewe, hata yeye simwogopi’

Matamshi

licha ya

/lit∫a ja/