Ufafanuzi msingi wa lifti katika Kiswahili

: lifti1lifti2

lifti1

nominoPlural lifti

  • 1

    chombo mfano wa chumba kinachoendeshwa kwa nguvu za umeme na kinachotumiwa kupandishia na kuteremshia watu au vitu katika nyumba yenye ghorofa nyingi.

    kambarau, eleveta

Asili

Kng

Matamshi

lifti

/lifti/

Ufafanuzi msingi wa lifti katika Kiswahili

: lifti1lifti2

lifti2

nominoPlural lifti

  • 1

    usafiri wa bure, agh. wa gari, anaopewa mtu na mtu mwingine.

Asili

Kng

Matamshi

lifti

/lifti/