Ufafanuzi msingi wa liga katika Kiswahili

: liga1liga2

liga1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    wekea mtu sumu.

Matamshi

liga

/liga/

Ufafanuzi msingi wa liga katika Kiswahili

: liga1liga2

liga2

nominoPlural maliga

  • 1

    sumu ya namna yoyote; dawa ya namna yoyote ambayo hudhoofisha mtu.

Matamshi

liga

/liga/