Ufafanuzi wa ligi katika Kiswahili

ligi

nominoPlural ligi

  • 1

    mkusanyiko wa timu za michezo k.v. klabu za mpira wa miguu zinazopambanishwa ili kupata mshindi au bingwa.

    ‘Fainali ya ligi’

Asili

Kng

Matamshi

ligi

/ligi/