Ufafanuzi wa lika katika Kiswahili

lika

kitenzi sielekezi

  • 1

    -isha kwa kusagika.

  • 2

    kuwa kwenye hali ya kuweza kuliwa.

Matamshi

lika

/lika/