Ufafanuzi wa lila na fila havitangamani katika Kiswahili

lila na fila havitangamani

msemo

methali
  • 1

    methali wema na ubaya haviafikiani.

Ufafanuzi wa Lila na fila havitangamani katika Kiswahili

Lila na fila havitangamani

msemo

  • 1

    wema na ubaya haviambatani.