Ufafanuzi wa lilahi katika Kiswahili

lilahi

kielezi

  • 1

    kwa ajili ya au kwa kukusudia Mungu tu; kwa usafi wa moyo.

    ‘Ukifanya jambo, fanya kililahi’
    insafu

Matamshi

lilahi

/lilahi/