Ufafanuzi msingi wa lima katika Kiswahili

: lima1lima2

lima1

kitenzi elekezi

  • 1

    andaa shamba liwe tayari kwa kupanda mbegu; safisha na tifua udongo ili uweze kupanda mbegu.

Matamshi

lima

/lima/

Ufafanuzi msingi wa lima katika Kiswahili

: lima1lima2

lima2

nomino

  • 1

    karamu ya harusi.

Asili

Kar

Matamshi

lima

/lima/