Ufafanuzi wa limbikizo katika Kiswahili

limbikizo

nominoPlural malimbikizo

  • 1

    mkusanyiko wa vitu uliofanyika kwa kudunduiza.

    ‘Mashirika ya umma yana malimbikizo ya madeni’

Matamshi

limbikizo

/limbikizɔ/